Tuesday, 16 February 2021

UMEONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA—KUPITIA WHATSAPP?

 

Bila shaka unafahamu ukweli huu, kuwa; WhatsApp ina mamilioni ya watumiaji, duniani. Inakadiriwa kuwa na watumiaji zaidi ya bilioni mbili, duniani kote. Bara la Afrika pekee linakadiriwa kuwa na watumiaji zaidi ya milioni mia tano, wa WhatsApp. Ukijua namna nzuri ya kutumia WhatsApp katika kutafuta, kutambua na kuandaa wateja wa huduma au biashara yako yoyote—kupitia mbinu nzuri zilizopo hivi sasa, hautahangaika kupata wateja wako wengi na wa uhakika, kupitia WhatsApp.

____________

Tunatumia vikundi vyetu vya WhatsApp: 'Maximum Sale Via WhatsApp' na 'WhatsApp Enhanced Economy School'; kutoa maelekezo ya moja kwa moja, pia tunatumia Audios zilizorekodiwa  kwa sura na vipengele vyote, vilevile unapewa kitabu cha PDF chenye maelekezo yote muhimu, kuhusiana na maarifa haya.

Bei ya programu hii ni Tsh 9,000/-.

________________________

YALIYOMO KWENYE PROGRAMU HII:

SURA YA KWANZA: Namna Nzuri Ya Kusevu Namba Za Washirika Wote Wa Vikundi Vyote Vya Whatsapp Unavyojiunga.

SURA YA PILI: Njia Bora Za Kutumia Namba Nyingi Ulizosevu Kwa Mfumo Wetu Kutangaza Na Kushirikisha Biashara Yako.

(a) Utumiaji wa mbinu ya P2P Sales Prospecting—kwa namba nyingi ulizosevu.

(b) Njia mpya ya ku-forward tangazo lako—kwa namba nyingi ulizosevu kwa njia yetu.

(c) Namna nzuri (mpya) ya kupata watazamaji wengi wa status zako za biashara [ndani ya muda mfupi].

SURA YA TATU: Mkakati Wa Kutengeneza Uhakika Wa Wateja Tarajiwa Wasio Na Kikomo—Kupitia WhatsApp.

__________________

Unahitaji kuanza programu hii leo? Tuma ujumbe mfupi kwa kuandika neno 'WEESCO 88', kwenda namba 0743517138 au tumia namba hiyo pia kuja WhatsApp (inbox).

__________________


No comments:

Post a Comment

UMEONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA—KUPITIA WHATSAPP?

  Bila shaka unafahamu ukweli huu, kuwa; WhatsApp ina  mamilioni ya watumiaji, duniani.  Inakadiriwa kuwa na watumiaji zaidi ya bilioni mbil...